INAPAKIA...
📞 0677 810 771  |  0756 810 770 📮 P.O Box 2800, Mwanza Tanzania
🚗 Customer Portal 🔐 Admin Portal
🔧 Garage ya Kisasa — Mwanza, Tanzania

RASHA
AUTOMOTIVE
WORKS

TEKNOLOJIA · UTAALAMU · UBORA

Karibu! Sisi ni mabingwa wa matengenezo ya magari ya kisasa na teknolojia ya juu. Tunarekebisha — Tunachunguza — Tunaprogram — Tunahakikisha Gari Lako Linafanya Kazi Kikamilifu.

Mechanics
MECHANICS Ukarabati wa Injini
Diagnostics
DIAGNOSTICS Computer Scanning
Auto Wiring
AUTO WIRING Mfumo wa Umeme
ECU Programming
ECU PROGRAMMING Key Programming
Spare Parts
SPARE PARTS Duka la Vipuri
Kuhusu Sisi

Garage Yenye Utaalamu wa Kweli

Rasha Automotive Works Logo

Rasha Automotive Works ni garage ya kisasa iliyoko Mwanza, Tanzania. Kwa miaka mingi ya uzoefu, tunajivunia kutoa huduma za ubora wa juu kwa wateja wetu. Timu yetu ya wataalamu iliyobobea inahakikisha gari lako linapata matengenezo bora.

  • Mechanics za magari yote madogo na makubwa
  • Mfumo wa umeme wa magari (Auto Wiring)
  • Computer diagnostics ya kisasa
  • ECU Programming & Key Programming
  • General vehicle servicing na huduma zote
500+
Wateja Wetu
8+
Miaka ya Uzoefu
10+
Wataalamu
100%
Uhakika wa Ubora
Huduma Zetu

Tunachofanya kwa Ubora

Mechanical services
MECHANICAL SERVICES
  • Engine repair & overhaul
  • Gearbox repair
  • Suspension & braking system
  • Full vehicle service
  • Ukarabati wa injini kubwa na ndogo
Auto electrical and wiring
AUTO ELECTRICAL & WIRING
  • Wiring repair na ukarabati
  • Sensor diagnosis
  • Electrical troubleshooting
  • Battery na alternator service
  • Lightning na alarm systems
Programming and diagnostics
PROGRAMMING & DIAGNOSTICS
  • ECU programming
  • Computer scanning ya kisasa
  • Fault detection na clearing
  • Key programming
  • Immobiliser coding
Spare parts shop
SPARE PARTS SHOP
  • Duka la vipuri ndani ya garage
  • Bei nafuu kuliko soko la nje
  • Vipuri original na quality
  • Vipuri vya aina zote za magari
  • Delivery inawezekana
Kwanini Utuchague

Sababu za Kutuchagua

👨‍🔧
Wataalamu wa Uzoefu
Timu yetu ina uzoefu wa miaka mingi katika sekta ya automotive.
🔬
Teknolojia za Kisasa
Tunatumia vifaa vya kisasa vya uchunguzi na programming.
Huduma Haraka
Tunajali muda wako. Huduma zetu zinafanyika kwa kasi na uhakika.
💰
Bei Rafiki
Tunatoa huduma bora kwa bei ambazo zinafaa kwa kila mtu.
🏪
Huduma Zote Sehemu Moja
Mechanics, electrical, programming, na vipuri — zote hapa!
🤝
Uaminifu na Uwazi
Tunakuambia ukweli kuhusu gari lako na gharama zinazohusika.
Mawasiliano

Wasiliana Nasi

💬 📞 PIGA SIMU SASA — 0756 810 770