TEKNOLOJIA · UTAALAMU · UBORA
Karibu! Sisi ni mabingwa wa matengenezo ya magari ya kisasa na teknolojia ya juu. Tunarekebisha — Tunachunguza — Tunaprogram — Tunahakikisha Gari Lako Linafanya Kazi Kikamilifu.
Rasha Automotive Works ni garage ya kisasa iliyoko Mwanza, Tanzania. Kwa miaka mingi ya uzoefu, tunajivunia kutoa huduma za ubora wa juu kwa wateja wetu. Timu yetu ya wataalamu iliyobobea inahakikisha gari lako linapata matengenezo bora.